Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Tyra Banks achaguliwa kuwa mtangazaji mpya wa American’s Got Talent
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Tyra Banks amechaguliwa kuwa mtangazaji mpya wa American’s Got Talent. Mwanamitindo huyo anachukua nafasi ya Nick Cannon kab...


Tyra Banks amechaguliwa kuwa mtangazaji mpya wa American’s Got Talent.

Mwanamitindo huyo anachukua nafasi ya Nick Cannon kabla ya kupigwa chini na kituo cha runiga cha NBC ambacho kinaonesha show hiyo.
Kupitia mtandao wa Twitter kituo hicho cha runinga kimemthibitisha mremb huyo kuwa ndio mtangazaji mpya kwa kuandika, “America, strike a pose. #AGT has a brand-new host! Welcome to the fam, @tyrabanks!.”
Mrembo huyo pia amewahi kuwa mtangazaji wa America’s Next Top Model kwa misimu 22.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top