Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Samatta hakamatiki Ubelgiji, wiki moja atupia magoli 5
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mbwana Samatta hakamatiki. Mchezaji huyo amezidi kuendeleza kasi yake ya ufungaji katika klabu ya KRC Genk. Jumapili hii na...


Mbwana Samatta hakamatiki. Mchezaji huyo amezidi kuendeleza kasi yake ya ufungaji katika klabu ya KRC Genk.

Jumapili hii nahodha huyo wa Taifa Stars amefanikiwa kufunga goli moja katika ushindi wa mabao 4-0 walioupata Genk wakiwa ugenini dhidi ya KVC Westerlo.
Samatta alifunga goli lake katika dakika ya saba ya mchezo huo huku magoli mengine yakifungwa na Thomas Buffel dakika ya 27, Omar Colley dakika ya 67 na Ruslan Manilovskydakika ya 90.
Mpaka sasa Samatta amefanikiwa kufunga magoli matano ndani ya wiki moja yakiwemo mawili aliyofunga Alhamisi iliyopita katika michuano ya kombe la Europa League.
13 Mar 2017

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top