POLISI KILIMANJARO YANASA SILAHA,DAWA ZA KULEVYA NA VIROBA VILIVYOPIGWA MARUFUKU
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandaizi wa Jeshi la
Polisi ,Wilbroad Mutafngwa akionyesha silaha zilizomakamatwa pamoja na
Dawa za Kulevya aina ya Mirungi na Bhangi.
Misokoto ya Bhangi iliyokamatwa.
Dawa za kulevya aina ya Mirungi iliyokamatwa.
Silaha aina ya Bastola zilizokamatwa na jeshi hilo.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa ya Kamanda wa Polisi,(hayupo pichani.)
Mfanyabiashara
wa vinywaji kwa jumla ,Gerald Kimario akiwa amebeba boksi la Pombe
iliyofungwa katika vifungashio vya Plastiki baada ya jeshi la Polisi
kukuta bidhaa hizo katika ghala lake la kuuzia bidhaa zake.
Mkaguzi
wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Chakula na Dawa,William Mhifadhi
akitizama Pombe iliyopigwa marufuku ikiwa katika vifungshio vya
plastiki.
Sehemu ya Vifungashio vya Plastiki vya Pombe viivyoppigwa marufuku hivi karibuni.
Watuhumiwa wa matukio ya usafirishaji wa Dawa za kulevya pamoja na Unyang'anyi wakiwa mikononi mwa jeshi la Polisi.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutfungwa akionesha gari
lililokamatwa likiwa na mizigo ya Dawa za kulevya aina ya Milungi
,wahusika wakijaribu kuisafirisha.
Post a Comment