MSTAHIKI MEYA JIJI LA TANGA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI AWATAKA KUCHAPA KAZI
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga.Alhaji Mustapha Selebosi akisisitiza jambo kwenye
kikao cha baraza la madiwani leo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Jiji la Tanga,Daudi Mayeji kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Tanga,Kassim Mbughuni
Naibu Meya wa Jiji la Tanga,Mohamed Haniu akizungumza kwenye kikao hicho cha Baraza la Madiwani
Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza kwenye kikao hicho cha
Baraza la Madiwani kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi
Mayeji
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akizunguza kwenye kikao
cha baraza la Madiwani leo kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Tanga,Kassim Mbughuni
Baadhi
ya Wataalamu wa Halmashauri ya Jiji la Tanga nao wakiwa makini kuchukua
baadhi ya hoja zilizokuwa zikiwasilishwa na madiwani kwenye kikao hicho
cha baraza la madiwani
Katibu
Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) Faidha Salim akifuatilia kwa umakini
kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa
Halmashauri Jijini Tanga.
Baadhi
ya Madiwani wakifuatilia kwa umakini kikao hicho kulia ni Diwani wa
Kata ya Central Jijini Tanga,Khalid Mohamed wakifuatilia kwa umakini
kikao hicho
Wakuu
wa Idara kwenye Halmashauri ya Jiji la Tanga wa kwanza kulia ni Mratibu
wa Ukimwi Jiji la Tanga,Moses Kisibo anayefuatia ni Meneja Mkuu wa
kituo cha Television ya Jiji la Tanga (TATV) Mussa Labani wakifuatilia
kwa umakini majadiliano ya kikao hicho
Baadhi ya Madiwani wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na
Diwani wa Kata ya Marungu (CCM) Mohamed Mambea mara baada ya kumalizika
kikao cha Baraza la Madiwani.
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga (CCM).Alhaji Mustapha Selebosi kushoto akiteta
jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Daudi Mayeji nyuma
yao ni Naibu Meya wa Jiji la Tanga (CUF) Mohamed Haniu mara baada ya
kumalizika kikao cha Baraza la Madiwani leo.
Post a Comment