KOMREDI KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WACCM, MJINI DODOMA, LEO
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu
mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa mikoa na wa
wilaya na watendaji, leo katika Ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la
Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
Washiriki
wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha
Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma.

Katibu wa Sekretarieti ya CCM, Anamringi Macha (kulia) akiratibu semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki
wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha
Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma.
Sekretarieti ikisimamia kufanyika kwa Washiriki
wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha
Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma.
Baadhi
ya viongozi wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama
Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Zanzibar Dk.
Abdalla Juma Abdallah, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu- Zanzibar, Vuai
Ali Vuai, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, na kutoka
kulia ni Katibu mpya wa NEC Oganaizesheni, Lela Ame Silima na Katibu wa
NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib. PICHA ZOTE NA BASHIR
NKOROMO
Post a Comment