Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Zaza nitafanya vizuri ndani ya klabu ya Valencia
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Mchezaji ambaye amesajiliwa hivi karibuni na klabu ya Valencia, Simone Zaza amesema anaamini kutua kwake katika kikosi hicho ni ...


Mchezaji ambaye amesajiliwa hivi karibuni na klabu ya Valencia, Simone Zaza amesema anaamini kutua kwake katika kikosi hicho ni sehemu ya kurejesha heshima yake.

Zaza ambaye ni raia wa Italia amesema ndani ya Valencia ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwa kuwa ni sehemu ambayo atatulia.
“Sihitaji kitu zaidi ya upepo, ufukwe na bahari ya Valencia. Ni eneo zuri la kuishi, ninaamini nitafanya kazi yangu vizuri,” alisema.
Zaza ambaye alishindwa kufanya vizuri alipokuwa akikipiga katika klabu ya West Ham United ya Uingereza ambayo alijiunga nayo akitokea Juventus.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top