Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Hii ndio ratiba ya raundi ya sita ya Azam Sports Federation Cup
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza Ratiba ya Kombe la ASFC Maarufu kama Azam Sports Federation Cup Raundi ya Sita amba...


Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza Ratiba ya Kombe la ASFC Maarufu kama Azam Sports Federation Cup Raundi ya Sita ambapo Simba itavaana na African Lyon na Azam FC watavaana na Mtibwa Sugar.

Ratiba ya michezo ya mzunguuko huo inaanza Tarehe 24 Februari mwaka huu ambapo Azam FC itachuana na Mtibwa Sugar kunako Dimba la Azam Complex na mechi nyingine ni Kagera Sugar na Stand United na Mighty Elephat dhidi ya Ndanda FC.
Ratiba kamili ya Azam Sports Federation Cup


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top