Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: TFF yamtangaza kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa nje!
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
TFF yamtangaza kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa nje! Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Bonifa...

TFF yamtangaza kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa nje!


Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.

Chalres Boniface Mkwassa
Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa kuandika,“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa Stars.”.

Ikumbukwe kamba kocha huyu alichukua mikoba kutoka kwa kocha Mart Nooij raia wa Uholanzi ambae alifundisha tangu mwaka 2014 hadi 2015.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top