Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Picha: Namna Rais Trump na mkewe walivyosherehekea baada ya kuapishwa
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Picha: Namna Rais Trump na mkewe walivyosherehekea baada ya kuapishwa Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady M...

Picha: Namna Rais Trump na mkewe walivyosherehekea baada ya kuapishwa


Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady Melania Trump kwenye hafla ya kusherehekea kuapishwa kwake, Ijumaa hii.

Aliungana na wanajeshi wa nchi hiyo mjini Washington. Familia yake pamoja na Makamu wake, nayo ilikuwepo. Kwenye hotuba yake fupi kwenye hafla hiyo, Trump ameahidi mabadiliko makubwa kwenye sera za nchi yake. Tazama picha zaidi.
















About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top