Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Picha: Mapokezi aliyopata Oscar alivyo tua China
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Picha: Mapokezi aliyopata Oscar alivyo tua China Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazili Oscar tayari ametua nchini China na kuji...

Picha: Mapokezi aliyopata Oscar alivyo tua China


Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazili Oscar tayari ametua nchini China na kujiunga na klabu yake mpya ya Shanghai SIPGt.

Klabu hiyo ambayo imemnunua kutoka klabu ya Chelsea kwa dau la paundi million 52, atakuwa akilamba paundi 400,000 kwa wiki amepata mapokezi ma kubwa huku China angali picha hapa chini.






About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top