Marseille sasa wapo tayari kumsajili beki huyu kutoka Aston Villa
Klabu ya soka ya Marseille ambayo inashiriki ligi ya Ufaransa umetanabaisha kwamba wao wana tatizo kwenye safu ya ulinzi na sasa wanatafuta suluhisho juu ya jambo hilo habari zinadai kwamba uongozi wa timu hiyo unamsaka mchezaji wa Villa, Jordan.
Marseille sasa wapo tayari kutuma wawakilishi kwenda kuongea na klabu ya Aston Villa ili waweze kumsajili beki wa timu hiyo aitwaye Jordan Amavi ambaye ana umri wa miaka 22, ni raia wa Ufaransa, klabu ya Liverpool nao wameonesha nia ya kutaka kumsajili mchezaji huyo pia.
Post a Comment