Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Gwen Stefan aungana na Ciara kuwa kisura wa Revlon
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Gwen Stefan aungana na Ciara kuwa kisura wa Revlon Mwanamuziki Gwen Stefani ametangazwa kuwa balozi mwingine wa brand ya Revlon. ...

Gwen Stefan aungana na Ciara kuwa kisura wa Revlon


Mwanamuziki Gwen Stefani ametangazwa kuwa balozi mwingine wa brand ya Revlon.

Stefani, anaungana na mabalozi wengine ambao ni pamoja na Ciara, Olivia Wilde na Halle Berry.
“Ever since I was a young girl, I have used makeup as a form of self-expression … I am passionate about makeup and how it can showcase your individuality and creativity. Partnering with an iconic beauty brand such as Revlon felt like a natural fit. I am so excited to continue sharing my love of makeup as a Revlon,” amesema.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top