Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Future auanza mwaka mpya kwa style ya Wema Sepetu
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Future auanza mwaka mpya kwa style ya Wema Sepetu Rapper wa Marekani, Future ameamua kuuanza mwaka mpya wa 2017 kwa kufuta picha zote kwe...

Future auanza mwaka mpya kwa style ya Wema Sepetu


Rapper wa Marekani, Future ameamua kuuanza mwaka mpya wa 2017 kwa kufuta picha zote kwenye mtandao wa Instagram.

Akaunti ya rapper huyo ina followers wapatao milioni 8.7 huku akiwa amemfollow mtu mmoja pekee ambaye ni Dj Esco.

Future anaungana na malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ambaye na yeye aliamua kuuanza mwaka kwa kitendo kama hicho cha kufuta picha zake kwenye mtandao huo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top