Bilionea Mark Zuckerberg aachana rasmi na Upagani
Mwanzilishi wa Facebook na CEO Mark Zuckerberg ameamua kuutosa upagani na kusisitiza kuwa dini kitu cha muhimu.
Zuckerberg, ambaye hapo awali profile ya akaunti yake ya Facebook iliwahi kumwelezea kama Mpagani (atheist), ameelezea kubadilisha mawazo yake baada ya kuandika ujumbe wa heri ya Christmas, “Merry Christmas and Happy Hanukkah” from “Priscilla, Max, Beast and me,” akimaanisha mke wake, mwanae na mbwa wake.
Baada ya mtu mmoja kumuuliza, “Aren’t you an atheist?”alijibu, “No. I was raised Jewish and then I went through a period where I questioned things, but now I believe religion is very important.”
Hata hivyo hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu dini yake.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.