Angel Di Maria kwenda China mwezi huu
Mchezaji Angel Di Maria ambaye ni mshambuliaji wa pembeni wa klabu ya soka ya PSG pamekuwa na taarifa akihusishwa na kwenda kujiunga na klabu za kule nchini China.
Jambo hili linatarajiwa kufanywa wakati wa uhamisho wa mwezi huu. Klabu za China zimejiandaa kufanya usajli wa wachezaji wenye majina makubwa ulimwenguni na baadhi yao tayari wapo kule.
Post a Comment