Ranieri: Mahrez aongeze juhudi na asipofanya hivyo atapoteza namba
Kocha wa klabu ya Leicester City, Claudio Ranieri ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza ametoa shutma kwa mchezaji Riyad Mahrez ambaye ni mshambuliaji wake.
Kocha huyu amemtaka Mahrez aongeze juhudi na asipofanya hivyo basi ni dhahiri kwamba atapoteza namba kwenye kikosi cha kwanza cha katika timu hiyo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.