Barnicoz Tech Barnicoz Tech Author
Title: Tanzia: MBUNGE WA JIMBO LA DIMANI,ZANZIBAR HAFIDH ALI TAHIR AFARIKI DUNIA
Author: Barnicoz Tech
Rating 5 of 5 Des:
Tanzia: MBUNGE WA JIMBO LA DIMANI,ZANZIBAR HAFIDH ALI TAHIR AFARIKI DUNIA Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia, Job Ndugai...

Tanzia: MBUNGE WA JIMBO LA DIMANI,ZANZIBAR HAFIDH ALI TAHIR AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia, Job Ndugai (Mb) anasikitika kuwatangazia kuwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar, Hafidh Ali Tahir amefariki dunia leo saa 9 alfajiri katika Hospitali ya General mkoani Dodoma.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitatolewa hapo baadae. Spika anaungana na Wabunge wote katika kuomboleza msiba huu.
Awali Marehemu pia alikuwa mwalimu wa soka kwenye timu ya Bunge Sports Club na mpaka usiku wa Novemba 10 alikuwa pamoja na Wabunge katika vikao mpaka saa 2.45 usiku.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top