SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini
Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Pamoja
na mambo mengine waliyozungumza Balozi huyo alimpa Mhe Spika pole
kufuatia Kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta
.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uingereza
nchini Sarah Cooke wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Uingereza nchini
Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Uingereza
nchini Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Naibu
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Balozi wa Uingereza
nchini Sarah Cooke wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi
kilichokutana kwa dharura kujadili kuhusu hoja ya kuahirisha Bunge
kufuatia kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta
ambapo Kikao hicho kiliridhia Bunge liahirishwe ili Waheshimiwa Wabunge
wapate muda wa kuomboleza kufuatia Msiba huo.
Picha na Ofisi ya Bunge.
Picha na Ofisi ya Bunge.

Post a Comment