News Alert!! DONALD TRUMP ASHINDA NAFASI YA URAIS MAREKANI
Hatimaye Donald Trump ameshinda nafasi
ya Urais kwa kuvuka idadi ya kura za wajumbe kwa kupata kura za wajumbe
276 huku Clinton akipata 218.
Muda huu anahutubia kukubali ushindi huo, mpaka sasa Clinton amegoma kusema chochote.


Post a Comment