
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia
hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya
Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu Novemba 10,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa
kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es salaam akipatiwa matibabu Novemba 10, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwafariji
baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na
mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo Novemba 10, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na
wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye
anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipungia mkono wananchi alipokuwa akitoka wodi ya Sewa Haji katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea
wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu Novemba 10,
2016-Picha na IKULU
Post a Comment