DK.SHEIN AWAAPISHA NAIBU MAWAZIRI
aibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ
Mhe,Shamata Shaame Khamis akiikariri hati ya kiapo kabla ya kuapishwa
leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Unguja,(kulia)Naibu Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Wanawakena Watoto Mhe,Shadia Mohamed Suleiman
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mihayo Juma
Nhunga,akiikariri hati ya kiapo kabla ya kuapishwa leo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja,(kushoto)Naibu
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe,Shadia Mohamed
Suleimani
Mwanasheria
Mkuu wa Zanzibar Mhe,Saidi Hassan Said (kulia) akiwa na Washauri wa
Rais wa Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya
kuapishwa Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar leo Ikulu Mjini Zanzibar.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Mhe,Mihayo Juma Nhunga, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.
is
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara
Maalum za SMZ Mhe,Shamata Shaame Khamis katika hafla iliyofanyika leo
Ikulu Mjini Unguja..
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Naibu Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto
Mhe,Shadia Mohamed Suleiman, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali baada ya kuwaapisha Naibu
Mawaziri katika Wizara mbali mbali hafla iliyofanyika leo katika ukumbi
wa Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.







Post a Comment